Recent Posts

Kofi Annan: Katibu mkuu wa zamani wa UN azikwa Accra, Ghana

Ibada ya mazishi ya aliyekuwa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan inafanyika katika mji mkuu wa Ghana, Accra. Waombolezaji waliovaa nguo nyeusi na nyekundu wamejaa katika ukumbi wa mikutano ya kimataifa mjini Accra ambako unaweza kupokea takriban watu 4000. Watu wengine zaidi wamekaa katika ukumbi mwingine nje ya …

Read More »

Agathon Rwasa ajitenga na muungano wa upinzani na kuunda chama kipya Burundi

Agathon Rwasa amesema wapinzani nchini Burundi kwanza watapaswa kuimarisha vyama vyao kabla ya kuungana kwa ajili ya uchaguzi wa 2020. Mwanasiasa mkongwe na mashuhuri wa upinzani nchini Burundi, Agathon Rwasa amejiengua katika muungano wa vyama vya upinzani nchini humo na yumo mbioni kusajili chama kipya cha siasa. Katika mkutano na …

Read More »