Recent Posts

WATU 80 WAFARIKI KATIKA SHAMBULIZI LA BOMU LILOWALENGA WASHIHA IRAQ

Vyombo vya usalama vya Iraq vimesema kwamba zaidi ya watu themanini wameuawa kwa shambulizi la bomu lililowalenga madhehebu ya kiislamu ya kishia kusini mwa mji wa Baghdad. Gari lililokuwa limebeba vilipuzi hivyo lililipuka karibu na kituo cha mafuta ambapo watu wengi wa dhehebu hilo walikuwa wameegesha magari yao. Wengi wa …

Read More »

KUNA FAIDA YA KUJIFUNZA KICHINA.

KUJUA kuandika, kusoma na kuzungumza lugha nyingi ni moja kati ya mambo yanayoweza kumpa binadamu mafanikio kwa haraka zaidi. Hii inatokana na fursa atakazozipata mhusika kutokana na kujua lugha hiyo hasa kama ni lugha ya kibiashara. Mjuzi wa lugha zaidi ya moja ataweza kuwasiliana na watu wengi zaidi ya mtu …

Read More »