Recent Posts

WATU 30 WAUAWA KWENYE SHAMBULIZI PAKISTAN

Takriban watu 30 wameuawa kwenye shambulizi lililotokea kwenye madhabahu ya kiislamu yaliyo mkoa wa Balochistan, kwa mujibu wa maafisa nchini Pakistan. Watu wengine kadha wanaripotiwa kujeruhiwa katika madhabua ya Shah Noorani yaliyo wilaya ya Kunduz. Vyombo vya habari viliripoti kuwa hakuna hospitali iliyo karibu na watoa huduma za dharura wanajaribu …

Read More »

UGANDA YAWASHINDA CONGO BRAZZAVILLE BAO 1-0

Uganda imejizolea pointi nne katika kundi E kwenye mechi za kufuzu kwa kombe la dunia kwa kuwatandika Congo Brazzaville bao 1- 0. Bao hilo lililofungwa na mshambuliaji Farouk Miya mnamo dakika ya 18 liliwaweka Crane Uongozini na kuwapandisha katika jedwali hadi namba moja katika kundi lao. Miya ambaye huijizea Standard …

Read More »

OBAMA KUHAMIA WASHINGTON DC

Rais Barack Obama wa Marekani ataondoka katika ikulu ya White House mapema mwaka 2017, lakini hatahamia mbali. Bwa Obama alisema siku ya Alhamisi kwamba familia yake itahamia mjini Washington, huku mwanawe wa kike Sasha akimaliza shule katika Elite Academy, Sidwel Friends. ”Kumhamisha mtu katikati ya mafunzo ni ngumu”, alisema alipokuwa …

Read More »