Recent Posts

UN: IDADI YA RAIA WALIOZINGIRWA NA VIKOSI VYA KIJESHI SYRIA YAONGEZEKA

Umoja wa mataifa umesema kuwa idadi ya raia wa Syria waliozingirwa na vikosi vya kijeshi imeongezeka na kufikia takribani milioni moja, ikiwa ni ongezeko la mara mbili zaidi katika kipindi cha miezi sita. Raia hao wanaodaiwa kuzingirwa na vikosi vya serikali na kubakia katika maeneo yenye hatari, upweke, na ukosefu …

Read More »

TETEMEKO LASABABISHA KIMBUNGA FUKUSHIMA, JAPAN

Tetemeko la ardhi la nguvu ya 7.4 kwenye vipimo vya Richter limekumba maeneo ya Fukushima na Miyagi nchini Japan na kusababisha kimbunga chenye mawimbi ya urefu wa zaidi ya mita moja. Tetemeko hilo limetokea mwendo wa saa kumi na mbili asubuhi saa za Japan (21:00 GMT Jumatatu), idara ya utabiri …

Read More »

RAIS MUGABE ASEMA “ANAROGWA “

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, mwenye umri wa mika 92, anazungumzia kuhusu kustaafu , lakini swali ambalo bado watu wanahoji ni ikiwa kweli anamaanisha hilo. Mwishoni mwa juma Bwana Mugabe aliuambia mkutano wa watu wapatao 400- walio piagania uhuru kwamba ikiwa atastaafu anapaswa kupewa fursa “inayofaa” kufanya hivyo. Pia aliwakosoa …

Read More »