Recent Posts

WABUNGE WAPONGEZWA

MTANDAO wa Vikundi vya Wakulima Wadogo Tanzania (MVIWATA) wamewapongeza wabunge kwa kuangalia kwa kina na kuukataa Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Jumuiya ya Ulaya (EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EPA). Mviwata imebainisha kuwa wabunge hao wameangalia zaidi mustakabali wa wakulima wadogo na uchumi wa kitaifa katika suala …

Read More »

BURIANI SAMUEL SITTA

TAIFA la Tanzania limempoteza kiongozi mzalendo na mwadilifu, Spika wa Bunge mstaafu, Samuel John Sitta (73) aliyejipambanua kuwa Spika wa Kasi na Viwango. Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Technical University of Munich nchini Ujerumani, alikokuwa akipatiwa matibabu. Sitta alikuwa akipatiwa matibabu nchini Ujerumani na alipoelekwa …

Read More »

CHADEMA WAMPIGANIA LEMA MAHAKAMA KUU

WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamekaa kwa muda wa saa saba wakimsubiri Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Wafuasi hao akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Joyce Mukya walikuwa wamekaa kwa saa …

Read More »