Recent Posts

Ubora Wa Elimu

Uislamu unahimiza Elimu kutokana Umuhimu wake na Ubora wake Ukirejea katika uteremshwaji wa Wahyi kwa Mtume Muhammad (S.A.W)Rehma za M/Mungu zimshukie Juu yake na Amani unakuja kukuta kwamba Aya za Mwanzo 5 Kumteremkia Mtume zilikuwa zinazungumzia Elimu (Kusoma). M/Mungu anasema ” Soma kwa Jina la Mola wako ambaye ameumbaa …”. …

Read More »

Ni Zipi Nguzo Tano za Uislamu

Nguzo tano za Uislamu ni mfumo wa maisha ya Muislamu. Ndizo ushahidi wa Imani, Swalah, utoaji wa Zakaah (kuwasaidia wernye dhiki), kufunga katika mwezi wa Ramadhaan na kuhiji Makkah mara moja maishani kwa wale wenye uwezo 1) Shahada ya Imani Ushahidi wa Imani ni kusema kwa kusadikisha, “La ilaaha illAllaah, …

Read More »