Recent Posts

CHINA YAMKABIDHI MAKONDA OFISI ZA WALIMU

UBALOZI wa China nchini umemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda majengo mawili kati ya matano ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kampeni ya ujenzi wa ofisi za walimu. Makonda alianzisha kampeni ya ujenzi wa ofisi za walimu Februari mwaka huu, baada ya kubaini uhaba wa ofisi …

Read More »