Recent Posts

Samatta Apiga Hatrick Genk

Mkali wa mabao wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ameendelea kuwatesa wazungu kwa kuzifumania vyavu, baada ya juzi usiku kupiga mabao matatu wakati Genk iliposhinda 5-2 dhidi ya Brondly. Samatta alifunga mabao hayo dakika ya 37, 55 na 70, ukiwa ni mchezo wa kufuzu mashindano ya Ligi ya Ulaya na …

Read More »

Jean-Pierre Bemba Azuiwa Kuwania Urais

Jean Bemba

Mbabe wa zamani wa kivita Jean-Pierre Bemba hawezi kuwania urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, tume ya uchaguzi nchini humo imesema. Bw Bemba ni miongoni mwa wagombea sita waliokuwa wamewasilisha majina yao kutaka kugombea, lakini tume hiyo imesema hawajahitimu baada ya …

Read More »

Bandari Bubu 27 Kurasimishwa

kilwa, Tanzania

Wilaya ya Kilwa mwishoni mwa wiki imeendesha mkutano wa wadau wa bandari kwa lengo la kuangalia urasimishaji wa bandari bubu zilizopo wilayani humo zipatazo 27. Mkuu wa wilaya hiyo Christopher Ngubiagai amewataka wajumbe wa mkutano huo kuhakikisha kwamba wanafanikisha kikao kwa kuangalia umuhimu na faida ya urasimishaji. Alisema hali ya …

Read More »