Recent Posts

Tanzania: Nini kinachowafanya wanasiasa kuhama vyama?

Wanachama wa CC nchini Tanzania Miaka ya nyuma mwanasiasa akihama katika chama chake ilikuwa ni jambo zito sana, lakini kwasasa mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vimegubikwa na taarifa za wanasiasa wanaohama vyama vyao mara kwa mara. Chama tawala cha CCM ndio kimbilio la wapinzani. Kwani kwa takribani mwaka …

Read More »

KAGERE- NUSURA NIJIUNGE LEOPARDS

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Gor Mahia, Meddie Kagere ameibuka na kusema kuwa nusura atue kwa wapinzani wa timu hiyo ya Kenya, AFC Leopards kabla ya kusajili Gor. Akizungumza katika mahojiano na Sunday Nation, Kagere mwenye umri wa miaka 32 aliendelea kuichezea K’Ogalo kwa sababu tu viongozi hawakutokea kuzungumza naye kuhusu …

Read More »

TFF, KCB WASAINI MKATABA MPYA

BENKI ya KCB imeendelea kuwa sehemu ya wadhamini wa Ligi Kuu Bara baada ya jana kusaini mkataba wa mwaka mmoja na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuidhamini ligi hiyo. Akizungumza wakati wa kutia saini Dar es Salaam jana, Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya KCB, Fatma Chiro alisema mkataba huo wa …

Read More »