Recent Posts

Comoro: Kumezuka ghasia katika kisiwa cha Anjouan

Wakazi wa kisiwa cha Anjouan nchini Comoro wamesema kumekuwa na milio ya risasi katika mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo Mutsamudu, baada ya vikosi vya ulinzi kuvunja vizuizi vya barabarani, ambapo serikali inasema viliwekwa na upinzani. Waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo Mohamed Daoudou amewalaumu waandamanaji kwa …

Read More »

Kuku wa maabara suluhisho kwa uhaba wa chakula duniani

Mabilioni ya wanyama huchinjwa kila mwaka kwa ajili ya nyama. Hofu ya ongezeko la ulaji nyama duniani, imewafanya wanasayansi kuvumbua mfumo wa kutengeneza nyama ya kuku katika maabara kutokana na seli ya unyoya wa kuku. Kampuni moja ya chakula mjini San Francisco imevumbua mfumo wa kukuza nyama ya kuku katika …

Read More »

Ebola yaendelea kuua DRC

Wataalamu wa afya Maafisa wa afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamethibitisha watu 24 zaidi wamefariki dunia kutokana na virusi vya ugonjwa wa Ebola mashariki mwa nchi hiyo katika kipindi cha wiki iliyopita. Maafisa hao wa Afya wametoa wito kwa wakazi wa eneo hilo kuchukua hatua za kujikinga dhidi …

Read More »