Recent Posts

MIKAKATI 15 MAGEUZI SEKTA YA UVUVI

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amezindua mikakati 15 kusimamia utekelezaji wa majukumu ya wizara hiyo na kuleta mageuzi makubwa na ya muda mfupi sekta za mifugo na uvuvi kabla ya kumalizika awamu ya kwanza ya serikali ya awamu ya tano ifikapo mwaka 2020. Mikakati hiyo ni kudhibiti magonjwa …

Read More »

WANAOUZA BINADAMU KUKIONA

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameliagiza Jeshi la Polisi kuendesha msako wa nyumba kwa nyumba, mashamba na madanguro kunusuru waathirika wa biashara haramu ya usafirishaji binadamu hasa watoto. Pia ameagiza kuondolewa haraka kwa Mjumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Kudhibiti biashara hiyo, Abubakar Yunusu kwa kushindwa …

Read More »

MAJALIWA ATUMBUA WANAODAIWA KUIBA DAWA

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Hospitali ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma kwa tuhuma za wizi wa dawa na vifaa tiba. Waziri Mkuu ameahidi kuyafunga maduka yote ya dawa yanayodaiwa kununua dawa kutoka kwa watumishi wa hospitali hiyo wasiokuwa waaminifu na kuziuza kwa wananchi. Waziri huyo …

Read More »