Recent Posts

MAJALIWA ATUMBUA WANAODAIWA KUIBA DAWA

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Hospitali ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma kwa tuhuma za wizi wa dawa na vifaa tiba. Waziri Mkuu ameahidi kuyafunga maduka yote ya dawa yanayodaiwa kununua dawa kutoka kwa watumishi wa hospitali hiyo wasiokuwa waaminifu na kuziuza kwa wananchi. Waziri huyo …

Read More »

Ziwa lenye maji lagunduliwa katika sayari ya Mars

mars

Watafiti wamepata ushahidi wa kwanza wa maji katika sayari ya Mars Kile wanachoamini kuwa ziwa kiko katika eneo lenye barafu nyingi la kusini na lina ukubwa wa kilomita 20. Utafiti wa awali ulipata ishara za maji yanayopita katika sakafu ya sayari hiyo, lakini hiyo ni ishara ya kwanza ya maji …

Read More »