Recent Posts

Kenya kuanzisha usafiri wa magari ya nyaya angani

Magari kama haya ya nyaya angani yanatarajiwa kurahisisha usafiri na pia kuwa njia moja ya kuwavutia watalii Kenya Serikali ya Kenya ina mpango wa kuanzisha usafiri wa magari ya nyaya angani mwakani. Hayo ni kwa mujibu wa mkurugenzi mkuu wa shirika la huduma za kivuko cha feri nchini Kenya – …

Read More »

Uturuki yaondoa hali ya hatari iliyoidhinishwa baada ya jaribo la mapinduzi

Rais wa Uturuki Tayyip Erdogan Vyombo vya habari vya taifa nchini Uturuki vimetangaza kwamba serikali imeondoa hali ya hatari iliyowekwa nchini humo kufuatia mapinduzi yaliyoshindwa miaka miwili iliyopita. Katika kipindi hicho makumi kwa maelfu ya watu walikamatwa na kushikiliwa bila ya kufunguliwa mashtaka chini ya agizo la Rais wa nchi …

Read More »