Recent Posts

SIMBA KUMKOSA BOCCO JUMAMOSI

TAARIFA kutoka Simba zinasema kuna uwezekano mkubwa wa kumkosa nahodha wake, John Bocco katika mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Mtibwa Sugar unaotarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, Agosti 18. Akizungumza jana, Daktari wa Simba, Yasin Gembe, alisema Bocco bado ni majeruhi na amekosa mechi mbili za …

Read More »

NINJA ARITHI JEZI YA CANNAVARO

BEKI wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amekataa jezi namba 23 aliyokuwa anavaa wakati akicheza timu hiyo kutotumiwa tena na badala yake amemrithisha beki kisiki, Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’. Hatua hiyo ya Cannavaro ilikuja baada ya uongozi wa timu hiyo kutangaza kuwa kwa heshima ya mchezaji huyo jezi hiyo haitatumika, lakini …

Read More »

MWENGE WAZINDUA MIRADI 47 DODOMA

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk Binilith Mahenge amesema miradi 47 iliyozinduliwa au kuwekewa mawe ya msingi na Mwenge wa Uhuru mwaka huu ni sehemu ndogo ya mradi mbalimbali inayotekelezwa katika jiji hilo. Akizungumza wakati wa kukabidhi Mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk Rehema Nchimbi, Dk Mahenge amesema …

Read More »