Recent Posts

YANGA SI YA KUBEZWA – CANAVARO

MENEJA wa Yanga, Nadir Haroub ‘Canavaro’ ameomba mashabiki na wanachama kuwa karibu na timu yao kwa kuwa kikosi cha msimu wa mwaka 2018/2019 si cha kubezwa kama wengi wanavyofanya. Canavaro aliyasema hayo juzi alipozungumza na waandishi baada ya mechi maalumu ya kumuaga kati ya Yanga na Mawenzi Market ya daraja …

Read More »

JPM ATEUA MA-DED WAPYA 41, AHAMISHA WENGINE

RAIS John Magufuli amefanya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya mmoja, Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji 41, na amewahamisha vituo vya kazi Mkuu wa Wilaya mmoja na Wakurugenzi wa Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji 19. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Ikulu Dar es …

Read More »

MAJALIWA ASISITIZA UZALENDO KWA VIONGOZI

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka viongozi kuwa wazalendo na kuwakumbusha kutoathiri usalama wa Taifa wakati wanapotekeleza shughuli zao. Majaliwa aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kozi fupi ya tano (Capstone 2018) katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi(NDC), inayowashirikisha viongozi kutoka taasisi mbalimbali za serikali. “Chuo …

Read More »