Recent Posts

Uhusiano wa Marekani na Saudia hautoathiriwa na mauaji ya Khashoggi

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema madai ya Saudi Arabia kuhusishwa katika mauaji ya mwandishi habari wa Saudia, Jamal Khashoggi, hayatoathiri uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Akizungumza na waandishi habari jana, Trump amesema ingawa kamwe hawawezi kujua ukweli kamili wa mauaji ya Khashoggi, Marekani itaendelea kuwa mshirika imara wa …

Read More »

Viongozi wa Afrika wakutana kujadili mageuzi katika Umoja wa Afrika

Viongozi

Viongozi wa nchi na mawaziri kutoka nchi 55 wa Umoja wa Afrika wanakutana katika kile kinachoonekana juhudi za dakika ya mwisho za kufikia makubaliano kuhusu haja ya kuufanyia Umoja wa Afrika mageuzi. Rais wa Rwanda Paul Kagame amewahimiza viongozi wenzake wa nchi za Afrika kufikia makubaliano kuhusu maguezi yaliyojadiliwa kwa …

Read More »

Benki ya Dunia yaridhia kuikopesha Tanzania dola milioni 300

Benki ya Dunia

Benki ya Dunia imeridhia kutoa Dola za Marekani Milioni 300 sawa na shilingi bilioni 680.5 kwa Tanzania kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa kuongeza ubora wa elimu ya sekondari, Ikulu ya Tanzania imeeleza. Fedha hizo zinaokusudiwa kujenga vyumba vya madarasa, mabweni, maabara, nyumba za watumishi na kununua vifaa vya …

Read More »