Home / Imani

Imani

Saudi Arabia Yajiandaa Kwa Hijja

Saudi Arabia inajiandaa kuwapokea mahujaji wanaoshiriki kwenye Hijja. Mwaka huu Hijja inaanza kesho Jumapili. Zaidi ya waumini milioni 1.6 wa Kiislamu kutoka maeneo mbalimbali duniani wamekwisha wasili nchini humo. Hijja ni moja kati ya nguzo tano za Kiislamu na ni muhimu kwa kila Muislamu anayejiweza kwenda kuhiji angalau mara moja …

Read More »