Home / Habari Za Kitaifa

Habari Za Kitaifa

TRA yatakiwa kuacha kuwatishia wafanyabiashara

Mama Samia Hassan

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetakiwa kutekeleza majukumu yake kwa kufuata taratibu, pia kujenga mahusiano bora na wafanyabiashara ili walipe kodi kwa uhuru na uadilifu bila vitisho. Pia, wameonywa juu ya tabia ya baadhi ya watumishi wao ambao hujiunga vikundi na kuwatembelea wafanyabiashara wakijiita; Special Task Force; ambao kazi yake …

Read More »

Historia ya marehemu Isaac Nyagabona Muyenjwa Gamba

HISTORIA YA MAREHEMU ISAAC NYAGABONA MUYENJWA GAMBA. Ratiba Kwa Ufupi Jumatatu Alfajiri – Kupokea Mwili Airport Jumatatu Kuanzia Saa Tano – Ibada na Heshima za Mwisho, Lugalo Hospital. Jumatano – Mazishi Bunda. A: KUZALIWA Marehemu Isaac Nyagabona Muyenjwa Gamba, ni mtoto wa 12 kati ya watoto 13 wa familia ya marehemu mzee Elizaphan …

Read More »

Magufuli akutana na mkurugenzi wa Benki ya Dunia

rais magufuli

Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli amekutana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini humo kuzungumzia miradi mbalimbali inayofadhiliwa na benki hiyo. Hata hivyo, utata bado unaendelea kuhusu msaada wa dola 50 milioni za Marekani ambazo benki hiyo ilikuwa inatarajiwa kutoa kwa taifa hilo. Taarifa iliyotumwa na Mkurugenzi wa …

Read More »

Kauli ya Rais Magufuli juu ya sakata la Makontena

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wote nchini kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria sambamba na kuhakikisha wanasimamia ipasavyo matumizi ya rasilimali za umma kwa maslahi ya wananchi. “Kwa mujibu wa sheria ya Madeni, Dhamana na Misaada Namba 30 ya mwaka 1974 (kama …

Read More »

Standard Chartered Kutoa Trilioni 3.3/- za SGR

Benki ya Standard Chartered Group imekubali kuipatia Tanzania mkopo nafuu wa Dola za Marekani bilioni 1.46 sawa na zaidi ya Sh trilioni 3.3 kwa ajili ya kujenga kipande cha Reli ya Kiwango cha Kimataifa (SGR) kuanzia Morogoro hadi Makutupora, mkoani Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, ameyasema …

Read More »

Utata Kuondolewa Chaneli Zisizolipiwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeombwa kuwaelimisha Watanzania, kuhusu kuondolewa kwa chaneli zisizolipiwa kwenye visimbuzi vinavyotoa maudhui kwa malipo. Ombi hilo lilitolewa na wadau wa habari nchini na wanasheria kutokana na ukweli kuwa pamoja na Kanuni na Masharti ya Leseni kuweka zuio la visimbuzi hivyo kurusha chaneli zisizolipiwa, bado kuna …

Read More »