Home / Michezo

Michezo

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 30.10.2018: Mauricio Pochettino, Antonio Conte, Loris Karius, Divock Origi, Jose Mourinho, Ousmane Dembele, Cristiano Ronaldo

Mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo, 33, amesema aliihama Real Madrid na kujiunga na Juventus kwa sababu rais wa klabu hiyo ya Uhispania Florentino Perez hakumfanya ajihisi kama mchezaji anayethaminiwa na kudhaminiwa sana. (L’Equipe, kupitia Express) Real Madrid wanamtaka meneja wa sasa wa Tottenham Mauricio Pochettino awe meneja wao mpya wa …

Read More »

Bilionea mmiliki wa Leicester City Vichai Srivaddhanaprabha athibitishwa kufariki dunia ajali ya helikopta Uingereza

Bilionea mmiliki wa klabu ya Leicester City FC amethibitishwa kuwa miongoni mwa watu waliofariki katika ajali ya helikopta karibu na uwanja wa klabu hiyo Jumamosi. Klabu hiyo imethibitisha kuwa Vichai Srivaddhanaprabha, 61, kutoka Thailand, wafanyakazi wawili wake, rubani na abiria mmoja walifariki baada ya ndege hiyo kuanguka mwendo wa saa …

Read More »

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 29.10.2018: Lopetegui, Conte, Pochettino, Pogba, Kovacic, Benitez, Zielinski

Julen Lopetegui Real Madrid wanatarajiwa kumfuta meneja Julen Lopetegui leo Jumatatu na aliyekuwa meneja wa Chelsea Antonio Conte ateuliwe mara moja. (Marca) Meneja wa Manchester City Pep Guardiola ameonya Real kuwa wana uwezekano mdogo wa kumchukua Mauricio Pochettino kutoka Tottenham kuchukua mahala pake Lopetegui. (Evening Standard) Mauricio Pochettino Makamu wa …

Read More »

Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Messi, De Gea, Ake, De Ligt, Alonso

David de Gea, Kipa wa Manchester United Manchester United itaipatia umuhimu kandarasi mpya ya kipa wa Uhispania David de Gea, 27, baada ya kupiga hatua kubwa katika mashauriano ya kurefusha mikataba ya beki wa kushoto wa England Luke Shaw, 23, na mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial, 22. (Evening Standard) Mshambuliaji …

Read More »