Home / Habari za Kimataifa

Habari za Kimataifa

Walinda amani wa MONUSCO wauawa DRC

congo, tanzania, malawi

Umoja wa Mataifa umesema walinda wake amani wapatao 7 wameuawa katika mapigano yaliyozuka karibu na mji wa Beni kaskazini mwa Kivu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Ni eneo lililoathiriwa zaidi na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini humo. Bado haijajulikana ni kundi gani la waasi limehusika na mashambulizi. …

Read More »

CIA ‘yamlaumu mwanamfalme wa Saudia ‘

Mohamed Bin Salman

Shirika la ujasusi la Marekani(CIA) linaamini kuwa Mwanamfalme Mohammed bin Salman wa Saudi Arabia ndiye aliyeamuru kuuawa kwa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi. Vyanzo kutoka shirika hilo vinasema kuwa vina ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa huenda mrithi huyo wa ufalme wa Saudi Arabia alijuwa kuhusu mipango ya kumuua Khashoggi. Kauli …

Read More »

Mashambulizi makali yaendelea Hodeidah

hodeidah, yemen

Mamia ya wapiganaji wameuliwa huku majeshi ya serikali yakiyakabili majeshi ya waasi katika nji wa Hodeidah nchini Yemen. Madaktari katika hospitali za eneo hilo wamesema waasi 47 waliuliwa kufuatia mashambulio ya angani. Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limewalaumu waasi wa Yemen kwa kuzifanya hospitali …

Read More »

Lion Air: Ndege mpya inawezaje kuanguka?

Ndege aina ya Boeing MAX 8 ilikuwa imehudumu chini ya mwaka mmoja Ndege ya shirika la Lion Air iliyoanguka baharini, ikiwa na abiria karibu 190 muda mfupi baada ya kupaa kutoka mji mkuu wa Jakarta nchini Indonesia imeendelea kuvutia hisia mbali mbali. Ndege hiyo aina ya Boeng 737 MAX 8, …

Read More »