Makala

KWANINI UISLAMU UMEHARAMISHA ZINAA

Kila sifa njema anastahiki ALLAH(sw) rehma na Amani zimshukie Mtukufu wa daraja Nabii MUHAMMAD(saw) na maswahaba zake na wema wote mpaka siku ya kiama Amma baad

Allaha(sw) Amesema katika quran “Na wala msiikurubie zinaa ,Hakika ni uchafu na njia mbaya”

Swali tutajiuliza, Je nini Uchafu wa zinaa? Hivyo kwanini Allah ameharamisha zinaa na akaruhusu tendo la ndoa wakati tendo ni lilelile na njia ni zilezile?

Katika kujibu hili kwanza tuelewe ni nini maana ya UCHAFU;kama alivyo lizungumza Allah(sw): Uchafu ni kitu kuwepo mahala pasipo stahili ,au kwa maana nyingine kufanya uchafu ni kuweka kitu pasipo stahili,Mfano ,kuchuka kiatu cha shilngi 50,000 kilichokanyagia tope au vumbi kisha ukakiweka juu ya kitanda cha sufi cha thamani ndogo mfano shilingi 5,000 Ajapo mtu atahoji/atauliza nani au kwanini umeweka uchafu kitandani?

Hii inatokana na kiatu kimewekwa pasipostahili,hivyo basikitendo cha mwanamume/mwanamkekupokea au kupeleka manii(yake pasipo stahili halali yake huo ni uchafu .Si hivyo tu yatosha wataalamu wamegundua uchafu huo.

Hebu tuliangalie hili kitaalamu /kisayansi (Reproduction

Hatua ya kwanza 1;Kwa upande wa mwanaume utoaji wake wa Maniini ni baada ya mfinyo wa Tezi(glands) za aina tano.,Mfinyo huu hupatikana baada ya stimulation (msisimko) tezi hizi hutoa maji ya aina 5 kama zilivyo, ambazo hukutana katika makende ya mwanaume na kuchukua mbegu,kisha hutoka kwa kupitia kiungo chake cha uzazi.Glands tulizo zitamka hupatikana katika kifua na mgongo

2;Kwa upande wa mwanamke yaye manii yake hutoka katika tezi za aina mbili,katika kifua chake .Maji haya yanapotoka huenda kujichanganya na yale ya mwanaume(5) kuwa ya aina saba yakikaa katika sehemu inayokusudiwa ndio hupatikana ujauzito(mimba)

Hatua ya pili Je ndani ya manii kuna kitu gani?

Ndani ya maniikuna vitu vifuatavyo;

Ø Protein-Hiki ni chakula kinachopatikana ndani ya manii,na hutokana na vyakula tulavyo, Mfano karanga ;tanbih kama una njaa tendola jimai halifai kunapatikana madhara.

Ø Acid-ni ni mfano wa Tindikali inayopatikana katika manii ya mwanaume,(kuthibitisha hili)inatabia ya kulegeza mwili imtokapo mtu na itayempata (aliyeolewa hulegea) pia mfano mashoga huathiriwa na hii Acid.Pia ndio maana inakatazwa kujimai na mwanmke anayenyonyesha kwani Acid hii ikingia katika maziwa itayaharibu hivyo mtoto akinyonya ,atanyonya pamoja na acid(Hapa mtoto atalegea/kubemendwa)ataharibikiwa

Ila kama atakunywa maziwa yenye asili ya acid ya damu yake yaani baba yake hatadhurika kwa vile Acid hiyo ni asili yake .vinginevyo mkeo/mwanamke ataziniwa mtoto ataathirika na anaweza akafa(kwake ni sumu)

Kazi ya Acid hii ni kuua Bakteria zisizohusika.

Ø Chromosmes-hizi ndizo mbegu halisi na haziishi ndani ya mwili kutokana na joto zitakufa,hukaa katika makende.Virus-Hivi ni vijidudu anavyo kila mtu na haviingiliani huingia katika vijstomata katika kuta za uke huishi humo.Kawaida mwanaume anapotoa manii hutoa na hivi virusi ambavyo ni salama ila kama ameathirika hutoa na hivyo vya HIV wakati wakumuingilia au

kuingiliana na mwanamke.

Unapotoa virusi wakati unamwingilia mkeo huenda kukaa kwa mara ya kwanza katika kuta za uke wake.Ina maana virusi wataoingia kwa mkeo ni wale ambao wamezoeana,sasa ikitokea mwanamke akazini ina maana atapokea virusi wengine wasio wako na watake kuishi katika huu ndio Utaratibu wa maumbile ya mwanaadamu,hawa virusi wapya wakiingia ,wale wazamani watashangaa na kujiuliza hawa wapya ni wawapi na kuwashambulia na kufa kundi moja wapo na lazima waliokufa watoke na watatokea palepale walipoingilia.HAPA NDIPO MTU ANAPOANZA KUTOKWA NA UCHAFU.(Yaani hawa Virus na bacteria waliokufa).Pia wale virus waliosalia hurudi katika sehemu ya kati ya uke ,pia watafuatwa ili washambuliwe,wakizidi kupigwa itabidi watoboe sehemu nyenginezo zisihusika iliwakimbie yaani katika nyama laini.

Hapa ndipo mtu(mwanamke) hupata maumivu akikojoa na mumewe anapomuingilia hupata virusi kupitia mrija wa mkojo humsababishia naye ZINAA(uchafu)

Ndio sababu ALLAH(sw) kasema zinaa ni Uchafu,na hivyo inakusudiwa kwa kuchanganya hali na mifumo tofauti ya mwili yaani mwanaume huyu na huyu.

Pia ndio maana ALLAH ameruhusu mwanaume kuoa mke zaidi ya Mmoja na si mwanamke kuolewa na mwanamme zaidi ya mmoja kwani yeye(mwanamke )anahifadhi hivyo kimaumbile akihifadhi zaidi ya mwanamme mmoja atadhurika..

Pia ndipo ina patikana hekma ya mwanamke aliyefiwa kukaa EDA. Yaani miezi minne(4) na siku kumi(10).

Show More

komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button
Close