Home / Michezo / Jedwali la Msimamo wa ligi ya EPL 2018/19: Manchester City, Man United, Liverpool, Chelsea, Arsenal

Jedwali la Msimamo wa ligi ya EPL 2018/19: Manchester City, Man United, Liverpool, Chelsea, Arsenal

Msimamo wa Ligi Kuu ya England kufikia tarehe 30 Oktoba, 2018.

Manchester City wamerejea kileleni baada ya kuwalaza Tottenham Hotspur bao 1-0, bao lao wakifungiwa na Riyad Mahrez.

Nambari Klabu Mechi Mabao Alama
1 Man City 10 24 26
2 Liverpool 10 16 26
3 Chelsea 10 17 24
4 Arsenal 10 11 22
5 Tottenham 10 8 21
6 Bournemouth 10 7 20
7 Watford 10 4 19
8 Man Utd 10 0 17
9 Everton 10 2 15
10 Wolves 10 0 15
11 Brighton 10 -2 14
12 Leicester 10 0 13
13 West Ham 10 -6 8
14 Crystal Palace 10 -6 8
15 Burnley 10 -11 8
16 Southampton 10 -8 7
17 Cardiff 10 -14 5
18 Fulham 10 -17 5
19 Newcastle 10 -8 3
20 Huddersfield 10 -17 3

Unaweza kusoma pia:

About komaji

Naitwa Ramadhani Shabani Komaji , Ni kijana wa Kitanzania mwenye upendondo na Kila Mwanadamu , Amani upendo furaha ndiyo Faraja ya maisha yangu, Tovuti yetu inazungumzia mambo yote ya kijamii na Kiimani mwenye kupenda kuchangia maendeleo na uboreshaji wa Tovuti yetu twamkaribisha sana +255655004100

Check Also

Bilionea mmiliki wa Leicester City Vichai Srivaddhanaprabha athibitishwa kufariki dunia ajali ya helikopta Uingereza

Bilionea mmiliki wa klabu ya Leicester City FC amethibitishwa kuwa miongoni mwa watu waliofariki katika …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *