Recent Posts

Mufunje: Daraja hatari linaloviunganisha vijiji viwili Kenya

Jina Mufunje lina maana ya kufunganisha kitu pamoja Daraja la Mufunje ni eneo maarufu mno kwa wenyeji wa eneo la Nzoia magharibi mwa Kenya. Daraja hilo ambalo limejengwa kwa nyaya pamoja na mbao na linaviunganisha vijiji viwili, wale wanaoishi upande wa Nzoia na wale walioko upande wa Bukoba. Jina Mufunje …

Read More »

*MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI MKOA KILIMANJARO AHAMASISHA WAZAZI*

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI MKOA KILIMANJARO AHAMASISHA WAZAZI Tarehe 25/10/2018, *Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Kilimanjaro Ndugu Chief Daudi Babu Mwidadi Mrindoko*, alialikwa kwenye Mahafali ya 12 ya kidato cha nne Shule ya Sekondari Kibororoni ambapo alialikwa kama Mgeni wa Heshima. Katika Mahafali hiyo Ndugu *Chief Mrindoko* …

Read More »