Recent Posts

Ni Zipi Nguzo Tano za Uislamu

Nguzo tano za Uislamu ni mfumo wa maisha ya Muislamu. Ndizo ushahidi wa Imani, Swalah, utoaji wa Zakaah (kuwasaidia wernye dhiki), kufunga katika mwezi wa Ramadhaan na kuhiji Makkah mara moja maishani kwa wale wenye uwezo 1) Shahada ya Imani Ushahidi wa Imani ni kusema kwa kusadikisha, “La ilaaha illAllaah, …

Read More »