Recent Posts

TRA yatakiwa kuacha kuwatishia wafanyabiashara

Mama Samia Hassan

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetakiwa kutekeleza majukumu yake kwa kufuata taratibu, pia kujenga mahusiano bora na wafanyabiashara ili walipe kodi kwa uhuru na uadilifu bila vitisho. Pia, wameonywa juu ya tabia ya baadhi ya watumishi wao ambao hujiunga vikundi na kuwatembelea wafanyabiashara wakijiita; Special Task Force; ambao kazi yake …

Read More »

Serikali yakamata tani 20 za korosho katika ghala binafsi

Vyombo vya dola nchini Tanzania vimekamata tani 20 za korosho kutoka ghala la Olam linalomilikiwa na mtu binafsi mkoani Mtwara. Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, amesema Jumamosi kuwa korosho hizo zilikabidhiwa katika Chama cha Msingi cha Mnyawi kwa lengo la kuchanganywa kinyemela na zile zinazopelekwa kwenye maghala makuu, limeripoti gazeti …

Read More »

Walinda amani wa MONUSCO wauawa DRC

congo, tanzania, malawi

Umoja wa Mataifa umesema walinda wake amani wapatao 7 wameuawa katika mapigano yaliyozuka karibu na mji wa Beni kaskazini mwa Kivu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Ni eneo lililoathiriwa zaidi na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini humo. Bado haijajulikana ni kundi gani la waasi limehusika na mashambulizi. …

Read More »