Recent Posts

Jean-Pierre Bemba Azuiwa Kuwania Urais

Jean Bemba

Mbabe wa zamani wa kivita Jean-Pierre Bemba hawezi kuwania urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, tume ya uchaguzi nchini humo imesema. Bw Bemba ni miongoni mwa wagombea sita waliokuwa wamewasilisha majina yao kutaka kugombea, lakini tume hiyo imesema hawajahitimu baada ya …

Read More »

Bandari Bubu 27 Kurasimishwa

kilwa, Tanzania

Wilaya ya Kilwa mwishoni mwa wiki imeendesha mkutano wa wadau wa bandari kwa lengo la kuangalia urasimishaji wa bandari bubu zilizopo wilayani humo zipatazo 27. Mkuu wa wilaya hiyo Christopher Ngubiagai amewataka wajumbe wa mkutano huo kuhakikisha kwamba wanafanikisha kikao kwa kuangalia umuhimu na faida ya urasimishaji. Alisema hali ya …

Read More »

Kocha Wa Simba Akiri Udhaifu

Simba Sports Club Coach

Licha ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, Simba kuanza michuano hiyo vizuri kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons juzi, kocha wake Patrick Aussems amesema safu yake ya ushambuliaji ilikosa ufanisi. Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, …

Read More »