Recent Posts

Raila Odinga: Je, majukumu mapya yatambana kwenye siasa za Kenya?

Uteuzi wa kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga kama mwakilishi mkuu wa Umoja wa Afrika kuhusu maendeleo ya miundo mbinu barani Afrika kumefungua awamu mpya katika maisha ya kisiasa ya kiongozi huyo wa upinzani nchini Kenya na kuzua mjadala mpya kuhusu hatima yake katika siasa za Kenya. Katika uteuzi …

Read More »

Rais Magufuli atema cheche anguko la bei ya korosho Tanzania

Panda shuka za zao la korosho nchini Tanzania zimemvuta Rais John Pombe Magufuli na sasa ametishia tena kuchukua hatua kali. Siku chache zilizopita msimu mpya wa mauzo ya zao la korosho ulifunguliwa huku bei ya zao hilo zikishuka maradufu. Korosho ndio chanzo kikuu cha fedha na tegemeo la kiuchumi kwa …

Read More »