Recent Posts

Lion Air: Ndege mpya inawezaje kuanguka?

Ndege aina ya Boeing MAX 8 ilikuwa imehudumu chini ya mwaka mmoja Ndege ya shirika la Lion Air iliyoanguka baharini, ikiwa na abiria karibu 190 muda mfupi baada ya kupaa kutoka mji mkuu wa Jakarta nchini Indonesia imeendelea kuvutia hisia mbali mbali. Ndege hiyo aina ya Boeng 737 MAX 8, …

Read More »

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 30.10.2018: Mauricio Pochettino, Antonio Conte, Loris Karius, Divock Origi, Jose Mourinho, Ousmane Dembele, Cristiano Ronaldo

Mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo, 33, amesema aliihama Real Madrid na kujiunga na Juventus kwa sababu rais wa klabu hiyo ya Uhispania Florentino Perez hakumfanya ajihisi kama mchezaji anayethaminiwa na kudhaminiwa sana. (L’Equipe, kupitia Express) Real Madrid wanamtaka meneja wa sasa wa Tottenham Mauricio Pochettino awe meneja wao mpya wa …

Read More »