Home / Tag Archives: Kilimo

Tag Archives: Kilimo

WAKULIMA WA MIWA WAKOPESHWA MIL 550

Miwa ya Tanzania

Wakulima 17 wa mashamba ya miwa wilayani Kilosa, wamenufaika na urasimishaji mashamba kwa kutumia hatimiliki za kimila kukopa Sh milioni 550 kutoka Benki ya Maendeleo ya Wakulima; imeelezwa. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Adam Mgoyi amesema hayo mjini hapa alipozungumzia manufaa ya urasimishaji ardhi na mashamba wilayani hapa unaoratibiwa na …

Read More »

Serikali mbioni kuleta wakala wa maji vijijini

waziri wa kilimo

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Makame Mbarawa, amesema kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi, Bandari ya Dar es Salaam inatarajia kupata mapato halisi ya Sh bilioni 450. Akichangia taarifa ya Kamati ya Bunge ya Miundombinu alisema, mpaka robo mwaka kuanzia Julai hadi Septemba kwa mwaka wa fedha …

Read More »

Mapato korosho yavuka trilioni 1/=

Cashew Nuts/ Korosho

MAPATO kutokana na mauzo ya korosho katika msimu wa 2017/2018 katika mikoa minne ya Lindi, Mtwara, Pwani na Ruvuma, yamepanda na kufi kia Sh trilioni 1.08 ikilinganishwa na misimu miwili iliyopita. Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), Hassan Jarufu, wakati akifafanua juu ya uzalishaji …

Read More »