Home / Tag Archives: Michezo

Tag Archives: Michezo

Sitaki Makosa, Tushambulie Mwanzo Mwisho

Kocha wa Azam FC ya Dar es Salaam, Hans van Pluijm amefunguka kuhusu maandalizi anayoendelea nayo kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara akieleza kuwa kama kawaida yake, falsafa yake ni kushambulia huku akiwa hataki mchezo kwenye idara ya ulinzi. Pluijm hataki timu pinzani atakazokutana nazo zipate muda wa kupanga …

Read More »

Mashabiki Wataka Yanga S.C Invunjwe

BAADA ya kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Gor Mahia FC katika mchezo wa makundi wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, mashabiki na wanachama wa Yanga wameutaka uongozi kufanya uamuzi mgumu kwa kusafisha upya kikosi. Kipigo hicho cha ugenini kimemtoa hadharani mchezaji wa zamani wa Yanga, Abeid Mziba akieleza …

Read More »

SIMBA YAKALISHWA TENA

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba wameendelea kuvurunda katika ligi hiyo, baada ya jana kufungwa 2-1 na Tanzania Prisons katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya. Hicho ni kipigo cha pili mfululizo kwa timu hiyo baada ya kufungwa na timu iliyopanda daraja ya African Lyon …

Read More »