Home / Tag Archives: Rais Magufuli

Tag Archives: Rais Magufuli

Magufuli akutana na mkurugenzi wa Benki ya Dunia

rais magufuli

Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli amekutana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini humo kuzungumzia miradi mbalimbali inayofadhiliwa na benki hiyo. Hata hivyo, utata bado unaendelea kuhusu msaada wa dola 50 milioni za Marekani ambazo benki hiyo ilikuwa inatarajiwa kutoa kwa taifa hilo. Taarifa iliyotumwa na Mkurugenzi wa …

Read More »

Magufuli akutana na viongozi wa zamani

Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli amekutana na marais wa zamani pamoja na viongozi wengine wa zamani walioshikilia nyadhifa mbalimbali serikali. Rais huyo aliwapa mwaliko wa kukutana naye ikulu, ambapo mkutano ulifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Picha zilizotolewa na ikulu hata hivyo …

Read More »

‘Msidanganyike kuvuruga amani ya nchi’

RAIS John Magufuli amewahakikishia Watanzania kuwa chini ya uongozi wake, serikali itaendelea kuboresha maisha ya wananchi wote kwa kuleta maendeleo ya aina mbalimbali, huku akiwataka kuilinda amani katika kuifi kia azma hiyo. Akifungua Barabara ya Uyovu-Bwanga, wilayani Bariadi mkoani Geita yenye urefu wa kilomita 45, Rais Magufuli alisema ‘’kupanga ni …

Read More »