Home / Tag Archives: Siasa

Tag Archives: Siasa

Mwita Waitara ajiunga na CCM

Mwita Waitara

Mbunge wa chama cha upinzani cha Chadema nchini Tanzania Mwita Waitara amejiunga na chama tawala nchini humo CCM. Waitara kutoka eneo bunge la Ukonga alitangaza uamuzi huo katika mkutano na vyombo vya habari mapema Jumamosi. Katika mkutano huo ulioandaliwa na katibu wa CCM anayesimamia maswala ya umma Humphery Polepole, kiongozi …

Read More »

CHADEMA WAMPIGANIA LEMA MAHAKAMA KUU

WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamekaa kwa muda wa saa saba wakimsubiri Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Wafuasi hao akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Joyce Mukya walikuwa wamekaa kwa saa …

Read More »