Home / Tag Archives: Uchaguzi

Tag Archives: Uchaguzi

NEC Yatangaza Wagombea udiwani kata 10

mkurugenzi wa tume ya uchaguzi tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza majina 27 ya wagombea udiwani walioteuliwa na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kuwania nafasi hizo katika kata 10 zitakazofanya Uchaguzi Mdogo Februari 17, mwaka huu. Uchaguzi huo unafanyika katika kata hizo kutokana na baadhi ya madiwani kujiuzulu nyadhifa zao na vifo. Katika uteuzi huo, …

Read More »

MAGUFULI AMPONGEZA TRUMP

RAIS John Magufuli amemtumia salamu za pongezi Rais mteule wa Marekani, Donald Trump ambaye jana aliibuka mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo, uliofanyika juzi na hivyo kumfanya kuwa Rais wa 45 wa taifa hilo kubwa lenye nguvu kubwa ya kiuchumi na kijeshi. Katika salamu zake kupitia anuani yake ya …

Read More »